Ikiwa ni wiki moja tangu msanii wakike Miss GG akiwa amemshirikisha BENSO wimbo unaotambulika kama I DO,Wasanii hao wameamua kuivalia njuka nyimbo hio na sasa wako kwenye matayarishi ya video ya nyimbo hio "I DO"
Tazama picha za nyuma ya pazia ya video hio hapa chini.
Comments
Post a Comment