Hapo Jumamosi msanii mkongwe wa Hip Hop Professor Jay aliweza kuzindua video zake mbili katika mkahawa wa
TEN LOUNGE Tanzania ambapo aliachia video yake ya
KIPI SIJASKIA akiwa amemshirikisha
DIAMOND PLATNUMZ na nyengine inayojulikiana kama
3-CHAFU
Pata kuzitizama hapa..
3-CHAFU
KIPI SIJASKIA..
Comments
Post a Comment