EXCLUSIVE: DOWNLOAD "SITOWEZA" MAFIMBO MFALME FEAT MIKE BWAX....get it here..
Kama ukimsikiza katika kipindi chake Pwanifm Tafrija Select Afrika utaweza kushtuka kwamba Munga Arnold ukipenda MAFIMBO MFALME ndiye aliyeimba wimbo huu wa SITOWEZA ambao ni wa kumtukuza Mungu.
Munga kando ya kuwa yeye ni presenter pia ni muimbaji katika kundi la THE GREAT MUNGAS ambayo kwasasa yuko pekeake na katika wimbo huu msanii huyo ama presenter amemshirikisha Mike Bwax wa kundi la BIBLIZERS KENYA.
After a long quiet of DUMBALA both original and REMIX JAY A hip hop artist from Kenya went all the way to Jamaica and did another song which he feat TIANA song called DON'T STOP. Watch the video here....
Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO
Comments
Post a Comment