Baada ya
NGOMA ITAMBAE SUSUMILA na
CHIKUZEE warudi tena kwenye kioo chako na kitu kipya kwa jina
HIDAYA.
Ndani ya video hio msanii
ALLY B pia ameshiriki ambapo ni video iliyo tengenezwa na
RICK BECKO director pata kuitizama hapa chini.
pata kuitizama hapa..
Comments
Post a Comment