Msanii mkali wa Bongo flava Ali Kiba baada ya kutoa MWANA hii ndio nyimbo yake ya pili baada ya kusema kuwa nyimbo iliyokua inajulikana kama HELA iliweza kuvuja.
Huu ni ujio wake mpya unaojulikana kama CHEKECHA CHEKETUA ambao amepiga mtindo waki Afrika.
Patakuskiza na Kudownload Hapa..
Comments
Post a Comment