Skip to main content

"KUNA WATU WALIKUWA WANAMTUMIA MSANII KIGOTO KUJINUFAISHA WENYEWE" AMOURY BEYBY AFUNGUNGU...Skiza Live hapa


Mapema wiki hii hit maker wa BARIDI pamoja na KITETE kupitia mtandao wake wa Facebook na Instagram aliweza kuandika kuwa na kuweka wazi kuwa yeye ndiye atakaye simamia video ya msanii anayekuja kwa kasi sana kutoka hapa mkoani Pwani anayejulikana kama Kigoto.

Amoury aliweza kuandika haya katika mitandao yake "Kigoto Mmbonde ni kati ya wasanii ninao wakubali sana kimziki,,ni mtunzi hodari,,msanii mnyenyekevu..hana kiburi na majivuno.. mwenye bidii,,anafanya nyimbo zenye ubunifu wa hali ya juu na ujumbe wa kueleweka,,kutokua na sapot kwake kumenitia unyonge sana,,japo baadhi ya wasanii wamemtenga,na ameandika hits nyingi zilizofanya vyema,,kwani siko tayari kuona kipaji na mtunzi bora aje akate tamaa baadae,,ndio maana mimi binafsi kama #‎ARTIST_001 nitamsimamia VIDEO YA nyimbo yake mpya #‎napenda_vizuri iliotengenezwa na PRODUCER NA MANAGER WAKE Tk Mbili .. najua ni sapryz kwako mdogo wangu ila mikakati yote nimetayarisha tayary na DIRECTOR / PRODUCER na MANAGER WANGU Guy G Vid Produzza,, #‎HUU_MWAKA_WETU" .


Hapo jana kupitia PILIPILIFM ndani ya kipindi cha MWAKE MWAKE kinachoongozwa na DOUBLE C yaani CHIGULU na CHRISS msanii huyo aliweza kufunguka zaidi na kusema yake ya moyoni, Amoury aliweza kufunguka kuwa kuna wasanii walikuwa wanamtumia msanii huyo ili kujinufaisha wao wenyewe.

Pata kuskiza Maojiano hayo live hapa..

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE NEW VIDEO "DON'T STOP" JAY A FEAT TIANA...check it here...

After a long quiet of DUMBALA both original and REMIX JAY A hip hop artist from Kenya went all the way to Jamaica and did another song which he feat TIANA song called DON'T STOP. Watch the video here....

+18!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!MREMBO HUDDAH MONROE AONYESHA PICHA ZA UTAMU WAKE AKIWA KITANDANI..

Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa hapa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana. “Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash Allah but this idea of being naked subhanallah stop it.You are a good girl hudda you can change if you want,” aliandika Shankaroon A. Mohammed. “Wajameni u mean ur whoring for real?? Oh my… please stop proving ppl right n be decent now that uv achieved what u wanted… n be quiet, if not for anything else then respect your clientèle. This is wrong,” ameandika Brenskie La’femme .

EXCLUSIVE HII HAPA : MASAUTI KATABIRIWA KUWA "THE NEXT BIG THING" NDANI YA MWAKA 2019 JE UNAJUA NI NANI ALIYEMTABIRIA?..Soma hapa

Katika miaka yote mwaka wa 2018 unaonekana ndio mwaka ambao mkali wa masauti Shembwana Masauti ameweza kufanya kazi nyingi nzuri na za ghali sana. Mkali wa 'vocals' Masauti mwaka jana aliweza kudondosha ngoma kali takriban kama nne kwa mfululizo amabazo ziliweza sana na kwasasa kibao kinachotatiza anga kinaitwa KIBOKO ambacho kibao icho kinaendelea kufanya vizuri ndani Afrika Mashariki. Hapo jana Presenter mkubwa kutoka MileleFmJalang'o almaarufu kama Mzee Jalas Mwenyewe aliweza  kusema msanii huyu huu mwaka ndiye atakaye sumbua kulingana na usimamizi wake mzuri pamoja na kazi zake zinazoweza kupita kiwango. Hii Hapa ndio kazi yake MAsauti mpya inayokwenda kwajina KIBOKO