Skip to main content

Posts

Showing posts from August 18, 2014

EXCLUSIVE: KUWA WA KWANZA KUITAZAMA VIDEO MPYA YA MSANII SLEEM G "MAMA"..Itizame hapa>>

Hii ni baada ya kimya kirefu lakini siku zote unaambiwa kimya kingi kina mshindo,msanii wa hapa Mombasa anayetambulika kama Mr.Unaweza ama ukipenda Sleem G Outta Limits amerydi tena na video na wimbo unaojulikana kama "MAMA" hii ni baada ya kuachia nyimbo yake ya CHANUKA UJITEGEMEE iliofanya vizuri katika vituo mbalimbali hapa nchini Kenya. Video hio imetengenezwa na OGOPA VIDEO ambapo pia Sleem G amemshirikisha msanii wa kike kwa jina "LEILA. Itazame video hio hapa chini..