Skip to main content

Posts

Showing posts from August 19, 2014

EXCLUSIVE: DOWNLOAD WIMBO MPYA WA TWENTY TWO `SINA` AMBAPO NI UJIO WAKE MPYA UPATE HAPA!!

Baada ya kimya kirefu tangu kuachia nyimbo yake inayojulikana kama BARUA Twenty Two Mwangi ameamua kurudi tena na ujio mpya ambapo ni mtindo ambao haja wahi kuufanya nyimbo yenye inajulikana kama SINA. Sina ni wimbo ambao uko kimtindo wa kama Mduara ama Sebene ambapo amefanyia ndani ya studio za TEE HITS, Pata nyimbo hio hapa!!  https://www.hulkshare.com/l91k7j3ts7wg

KWA MARA YA KWANZA SHEMBWANA MASAUTI KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA JUMA TANO HII KATIKA MKAHAWA WA BELLA SPORTS/BELLA VISTA ALIOIFANYA TANGU KUINGIA KATIKA MIKONO YA J-BLESSING.

Ni mda sasa tangu tuskie kijana wa nyumbani yaani Shembwana Masauti kuwa amechukuliwa na kampuni ya J-Blessing basi ukimya huo utavunjwa hapo siku ya Juma tano katika mkahwa wa Bella Sports ambapo atakuwa anazindua video yake mpya tangu kuchukuliwa na J Blessing Msanii huyo atakuwa katika jukwaa na wasanii wenzake wengi pamoja na Mc Muscat Moreno ‪#‎ Gates_Mgenge‬ (Pwanifm) Pamoja na Dj Elonn Imperialdj Dj Ivory Patrick Simiyu pamoja na washika dau wote ikiwemo Actress,Dancer na manager mbali mbali. Usikose mtu wangu Tujumuike pamoja ikiwa ni kila Jumaa Tano mahali ni BELLA SPORTS.

MSANII BENSO ALIPATA KUACHIA UJIO WAKE MPYA AKIWA AMESHIRIKIANA NA MSANII WA KIKE ANAYEJULIKANA KAMA MISS GG...Skiza hapa!!

Msanii anayejulikana kama Miss GG ndiye msanii wa kwanza wa kike kutambulishwa na Msanii Benso ambapo walitoa wimbo wao wa kwanza uliojulikana kama PHONTHO ambao uliweza kufanya vizuri sana katika vituo mbali mbali vya T.V na Radio hapa nchini. Benso amerudi tena na kuvunja ukimya wake akiwa kwa mara hii ameshirikishwa na msanii wa wakike aliye na sauti ya mnato na mvuto zaidi anayejulikana kama MISS GG,Msanii huyo ambali na kuwa ni msanii wa ku-record pia huimba na Band sehemu mbali mbali humu nchini,na kwa sasa wasanii hao wamerudi tena na ujio wao mpya unaojulikana kama I DO. Tukiongea na wasanii hao walidai kuwa video ya wimbo huo wao iko njiani na inaweza kuwa nje hivi karibuni kwa hivyo mafans wao wakae mkao wa kula. Skiza Wimbo huo hapa!!