Skip to main content

Posts

Showing posts from September 15, 2016

EXCLUSIVE STORY:HUU NDIO UJUMBE MZITO WA TBT WEMA SEPETU ALIOMUANDIKIA ALIYEKUWA MPENZI WAKE AMBAYE KWASASA NI MAREHEMU, STEVEN KANUMBA.Soma Hapa

Katika tasnia ya uigizaji nchini Tanzania Kila mmoja anafahamu kwamba muigizaji wakike WEMA SEPETU aliweza kuingizwa katika tasnia hio na alieyekuwa star wa Bongo movie na ni mmo ywa wale waigizaji walioipeleka tasnia ya Bongo Movie mbali zaidi si mwengine ni STEVEN CHARLS KANUMBA. Ikiwa leo ni ile siku ya kukumbuka vitu vilivyopita ( Mambo ya Nyuma ) Queen WEMA SEPETU aliweza kumkumbuka sana aliye kuwa mwalimu pamoja na mpenzi wake na kumuangushia ujumbe mzito wa kimapenzi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM. Ikiwa ni Miaka sita saa hii tangu mauti kumpata Star Huyo lakini bado Mrembo Wema Sepetu amebaki na kumbukumbu ya Mapenzi aliyokuwa anapewa na marehemu KANUMBA, Na Huu ndio ujumbe aliouandika Wema. " My TBT... My First True Love... They say U only Find True Love once in your Lifetime... If & Only If... Well I cant deny the fact that he has a special place in my heart.... And after God took him from Us, I had room for another True Lover.... & Yes I choose