Msanii kutoka hapa Kenya hit maker wa Kidekide wikendi hii hakuwa na dancer wake wote kwaukamilifu kama kawaida mashabiki wake walivyomzoea,katika ukumbi wa Mamangina ambapo kulikua na show ya MARATHON. DAZLAH AKIWA JUKWAANI Dazlah alionekana akipanda katika jukwaa akiwa na dancer nusu na mashabiki zake kuulizana na wenfgine kudai kwamba haukweza kuwamudu lakini THEGREATMULLEY tuliweza kuongea na msanii huyo na kumuuliza kwamba ni kweli ameshindwa kuwahudumia ma dancer wake wote ndio maana amewapunguza, Msanii huyo aliweza kusema kwamba aliweza kumpa dancer huyo likizo fupi kwasababu ya utovu wa nidhamu kumbuka ndie mkubwa wa dancers wake kwa jina MODY CHILE. "Kiukweli si...