Skip to main content

Posts

Showing posts from August 12, 2015

EXCLUSIVE VIDEO: WASOJALI BAND-SINA BAHATI_OFFICIAL VIDEO...|Watch it here

  Vijana walio jawa na talanta kutoka nchin Kenya wanaojulikana kama WASOJALI BAND waachia video yao mpya inayojulikana kama SINA BAHATI.  Video hio imeketiwa chini na mkali wa video kutoka humu nchini anayejulikana kama RICKY BECKO na Audio yenye imetengenezwa katika studio za GREEN HOUSE mkono ni wa NOZER. Kumbuka vijana hawa wakiwa chini ya uongozi wa meneja wao ATHMAN BABAZ ni vijana wanao kuja kwa kasi zaidi na wanao tishia katika sauti zao za kuvutia pamoja na bidii na juudi zao. hizi ni baadhi ya picha wakiiizindua rasmi video hio yao jijini Nairobi ndani ya WAKILISHA EAST AFRICA ndani ya mkahawa wa TRIBEKA.  Pata kuitizama video hio hapa.. WASOJALI BAND-SINA BAHATI