Skip to main content

Posts

Showing posts from March 3, 2015

EXCLUSIVE VIDEO | FID Q-BONGO HIP HOP (Official Video) Watch it here...

Baada ya kimya kirefu msanii mkongwe wa Hiphop kutoka nchini Tanzania anayejulikana kama FID Q ama ukipenda CHEUSI DAWA ameamua kuvunja ukimya wake, Hii ni baada ya hapo jana kuangusha video mpya ya nyimbo yake inayojulikana kama BONGO HIP HOP iliyoshikiwa Camera na director NISHER . Pata kuitzama video hio hapa..