Skip to main content

Posts

Showing posts from May 28, 2015

TOTTI AACHIA PICHA KATIKA MITANDAO JE HUENDA IKAWA ANAMTAMBULISHA MPENZI WAKE?...Soma zaidi hapa

Ikiwa sio rahisi sana na haijawahi kutokea kuwa msanii ama produza amemtambulisha mchumba wake ama kuachia picha za mwanamke yoyote katika mitandao hii imekua exclusive kwa TOTTI wiki hii ameweza kuachia picha ambapo wengi wameweza kusema ni za mpenzi wake. Wengi hawajawahi kumjua wala kumtambua mpenzi wa TOTTI na wala msanii huyo hajawahi kuwa na mtu wala kumueka mwanamke yeyote wazi hii imeanza wiki hii alipoangusha picha katika mtandao wake akiwa na kamama  tulipompigia simu msanii huyo mbinu zetu za kupata kuongea nae ziligonga mwamba kwani hakuweza kupokea simu zetu. Ikiwa ni wiki ijayo msanii huyo atakua anaangusha video yake mpya inayojulikana kama WANGU je huenda kuwa msichana huyo ni video Queen katika video hio mpya yake?