Skip to main content

Posts

Showing posts from March 25, 2015

MSANII WAKIKE NOTI FLOW AVUJISHA PICHA ZA NUSU KATIKA MITANDAO| Soma hapa na utizame picha

Katika pitepite zetu za kweye mitandao leo hii tumezuru katika kurasa zake msanii NOTI FLOW ambaye ni msanii wakike anayefanya mziki wa kuchana. Noti Flow kwasasa yuko jijini Nairobi kuendeleza muziki wake lakini leo hii ameacha watu wengi wakiwemo mashabiki zake midomo wazi pale aliptupia picha za nusu uchi katika mitandao yake ya Facebook pamoja na Instagram ambapo amekua akiangusha picha moja baada ya nyengine kila uchao. Tuliwea kumvutia nyaya za simu ili kumuuliza lakini shambulio letu liligonga mwamba maana hakuweza kushika simu wala kuonea na sisi, Swali ni je mziki umemshinda na kuingilia mambo ya mitindo? ( MODELLING ). Hizi ndio baadh ya picha tulizozinasa..

EXCLUSIVE VIDEO| SULTAN WA PWANI FEAT KHALIGRAPH JONES-SO FAR SO GOOD| Watch it here...

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii anayejulikana kama SULTAN WA PWANI amevunja kimya hicho na kuachia ngoma mpya ambayo amemshirikisha msaniiwa Hip Hop anayetambulika kwa jina KHALIGRAPH JONES. Ngoma hio yao mpya inajulikana kama SO FAR SO GOOD ambayo wameweakuiketia chini ndani ya studio za THURNDER SOUND mkono ukiwa ni wa produza mkongwe MORBIZ ,video imetengenezwa na director anayekuja kwa kasi JOHNSON KYALO chini ya TOP NOTCH FILMS. Pata kuitzama video hio hapa chini...