Skip to main content

Posts

Showing posts from May 3, 2016

NEW AUDIO| SUDIBOY X BROWN MAUZO-SHURBA| IPAKUE HAPA UPATE MISTARI MIKALI..

Baada yakutulia na kungojea sana mwishowe imeachiliwa ni ngoma mpya ya wakali wa voko SUDIBOY na BROWN MAUZO ngoma inajulikana kama SHURBA. SHURBA imetokea studio za KAY-G RECORDS mkono ni wa produza TOTTI. Pakua hapa..

HII HAPA VIDEO MPYA YA SUSUMILA AKIWA NA KING KAKA INAJULIKANA KAMA "MAPEPE"...Itazame hapa..

Huu ndio wimbo wakwanza kuutambulisha msanii SUSUMILA mwaka huu akiwa amemshirikisha KING KAKA unajulikana kama MAPEPE. Nyimbo yeyenyewe imeweza kuongozwa na JOHNSON KYALO chini ya EMPIRE FILM na kick na snare imegongwa kwa produza TOTTI. Pata kuitazama hapa..