Skip to main content

Posts

Showing posts from May 22, 2015

VIDEO YA COLONEL MUSTAFA "DODOMASINGIDAH' YAMTIA MASHAKANI....soma story yote hapa...

Mwanamuziki kutokea anga za +254 anayetambulika kwa jina la COLONEL MUSTAFA alitarajiwa kuachia ujio wake wa video mpya hivi karibuni lakini video hio imemueka msanii huyo matatani baada yakumueka sicha ambaye yuko katika vdeo hio akiwa nusu uchi. Alafajiri ya yaleo tuliweza kukumbana na ujumbe mzito kupitia ukurasa wa ISTAGRAM wa msanii huyo ambao ulikua unasema ivi "It is with great disappointment that I put to hold the release of my new single #DodomaSingida....Polisi wamenivamia kwenye studio n am headed to Criminal Investigation Department for investigation over questioning involving one of the model that appeared in my video. I won’t be able to release the video today until I clear with the authorities. To all my fans, friends, Tv & Radio hosts, I do apologize for any inconvenience caused.”    Ameweza kuhairisha siku yakuachia video hio yake inayojulikana kama DODOMASINGIDA hadi pale kesi hio itakapo kwiha ndipo atakapotangaza rasmi siku ya kuiachia.