Skip to main content

VIDEO YA COLONEL MUSTAFA "DODOMASINGIDAH' YAMTIA MASHAKANI....soma story yote hapa...


Mwanamuziki kutokea anga za +254 anayetambulika kwa jina la COLONEL MUSTAFA alitarajiwa kuachia ujio wake wa video mpya hivi karibuni lakini video hio imemueka msanii huyo matatani baada yakumueka sicha ambaye yuko katika vdeo hio akiwa nusu uchi.

Alafajiri ya yaleo tuliweza kukumbana na ujumbe mzito kupitia ukurasa wa ISTAGRAM wa msanii huyo ambao ulikua unasema ivi
"It is with great disappointment that I put to hold the release of my new single #DodomaSingida....Polisi wamenivamia kwenye studio n am headed to Criminal Investigation Department for investigation over questioning involving one of the model that appeared in my video. I won’t be able to release the video today until I clear with the authorities. To all my fans, friends, Tv & Radio hosts, I do apologize for any inconvenience caused.”  


Ameweza kuhairisha siku yakuachia video hio yake inayojulikana kama DODOMASINGIDA hadi pale kesi hio itakapo kwiha ndipo atakapotangaza rasmi siku ya kuiachia.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..