Skip to main content

Posts

Showing posts from March 21, 2016

EXCLUSIVE STORY| MANAGER WA WASOJALI BAND AONGELEA SWALA ZIMA LA WASANII WAKE KUTUMIA BEAT "HELLO" YA DIAMOND PLATNUMZ...

Ni wiki moja imepita tangu ngoma mpya ya WASOJALI BAND iliojulikana kama NITALIA NAWE kuachiliwa katika vituo vyote vya runinga/Radio humu nchini na kupokelewa vizuri na media zetu na baada ya hapo ngoma hio imezua mtafaruku baada ya watu mbali mbali ikiwemo washika dau pamoja na mashabiki kusema kwamba Beat iliotumika katika ngoma ile iliweza kuibwa kutoka kwa ngoma HELLO alioifanya star DIAMOND PLATNUMZ . Manager wa vijana hawa wanaokuja kwa kasi zaidi anayetambulika kama ATHMAN BABA aliweza kulivalia njuga swala hilo na kuweka wazi,Akiongea na THE GREAT MULLEY kuhusu swala hilo BABA aliweza kusema kwamba wasanii wake hawajaiba beat yoyote bali ni yeye mwenyewe ndio aliweza kuiskiza nyimbo ile ya Diamond Platnumz na kuipenda zaidi na kutaka vijana wake wafanye kitu kama hicho ivyo basi ikamlazimu kuitafuta beat hio na kumpelekea Produza NOIZER na kumwambia asiweze kutoa ata kinanda ndani ya Beat ile na pia vijana wake wataweza kuimbia ndani ya mfumo ule ule Diamond a