Skip to main content

Posts

Showing posts from October 25, 2018

T.G.M IMEKUSOGEZEA PICHA ZA MADAM BOSS AKILA BATA UGHAIBUNI UKO NCHINI SWITZERLAND AKIWA NA HABIT WAKE.....Bonyeza hapa upate kuzitizama.

Kuanzia mwanzo wa hii wiki mmiliki wa AKOTHEE SAFARIS anayejulikana kwajila lake la MADAM BOSS amekua akidondosha picha zake akiwa Ugaibuni almaarufu ulaya katika nchi tofauti tofauti kama vile FRANCE , SWITZERLAND pamoja na nyengine nyingi akila bata la hali ya juu sana. Msanii huyo ambae ivi karibuni amedondosha hit yake iliyojulikana kama LOTTO ,baada yakuachia wimbo huo alionekana yuko Zurich akiwa katikati ya starehe zisizokua na kifani wanasema bata batani na aliweza kunyeshea mtandao wake wa instagram kwa picha izo uku akiwaacha watu wakimwagika mate... Baadhi ya picha za stargal huyo ambazo tumeweza kuzinasi ziko hapo chini pata kuzitazama kwa umakini. Akiwa na mpenzi wake Nellyoaks Pata kuitazama video yake ya LOTTO hapa chini... BONYEZA HAPA