Skip to main content

Posts

Showing posts from October 31, 2014

2CHAINZ JAMESON PARTY LIVE CONCERT SCHEDULED TO DECEMBER 12..Read more here…

American rapper 2Chainz has confirmed that he will be performing in Kenya December 12. The rapper was scheduled to perform at a much anticipated Jameson Party Live concert on November 1 that is today.  The concert was cancelled however following a contractual debacle between Jameson and the artiste. "To all my fans in Kenya, I will not be coming today but we are rescheduling to DEC 12... They getting my travel right as we speak TRU" 2Chainz said via his twitter handle. The event was expected to take place at the Ngong' Racecourse between 8pm - 3am. Kiss 100 FM, the official media sponsor confirmed earlier that it would not be taking place as the sponsors and the artiste failed to agree on terms. It is not yet clear what the contractual disagreement was between the artiste who was to make his maiden tour of Kenya with  Jameson who were the lead sponsor of the event.  

+18!!!!!!!!! PENDO ALIYE DAIWA KUWA MPENZI WA MSANII WILLY PAUL MSANII WA GOSPEL AACHIA PICHA CHAFU MITANDAONI.....Pata kuzitazama hapa

Mwanadada Pemdo alianzakuangaziwa pale tu alisemekana kuwa yeye na msanii wa nyimbo za Gospel Willy Paul ni wapenzi.  Hapo ndipo visanga visivyo isha vilianza na drama za paka na panya akiwa na msanii huyo hadi akawa anajulikana kama SOCIALITE hapa nchini Kenya na kuangaziwa na Media. Pata kutazama picha alizoziachia mitandao akiwa anakula ujana maeneo ya Ukunda South Coast.

EXCLUSIVE: PHOTOS OF BEHIND THE SCENE OF THE MAKING OF AIRE VIDEO BY KIGOTO MBONDE....see photos here

Kimya kingi kina mshindo baada ya msanii KIGOTO kuja kwa kasi na kuzima kama moto wa gasi ameregea tena na kwasasa atakuja katika kioo chako ambapo ni video mpya ambayo walikuwa wanaitengeza hapo jana katika jiji la Mombasa, video hio ni ya nyimbo iliyotamba sana inayojulikana kama AIRE,Aire ni ngoma iliyo tamba sana katika mitaa na vituo vya radio hapa Kenya. Video hio inatengenezwa na Director anayejulikana kama BECKO ambaye ndiye aliye fanya video ya SUSUMILA na CHIKUZEE "HIDAYA" Pata kutizama picha hizo hapa...

MSANII WA X-MATHARE OHZY ADAI KUWA HAKUNA MZIKI MBOVU DUNIA HII.....SOMA ALICHO KISEMA HAPA..

Katika mkahawa mmoja hapo jana THE GREAT MULLEY ilikuwa na msanii anayetoka katika kundi la X-MATHARE linalotamba na ngoma yao NIMERYKE. Tuliweza kumuuliza msanii huyo kuwa anaonaje kuhusu usanii wa hapa Kenya,alikiri kuwa hapa Kenya na ulimwengu mzima alidai kuwa hakuna mziki mbaya kabisa ni pesa yako ndio inaongea, "Usanii siku hizi umekuwa sio kipaji tena bali ni pesa yako ndio itakayo kufanya ujulikane na ngoma yako iweze kunye katika anga za ulimwengu" alisema Ohzy. Tulimuuliza ni ngoma gani anayoonelea sio nzuri lakini ni mfuko ulifanya kazi msanii huyo alicheka na kudai kuwa hataki kusema na kueka wazi maana yeye mwenyewe hataki gumzo na story nyingi mitandaoni lakini aliweza kutupatia mfano wa nyimbo iliyofanya vizuri na kusema kuwa MARY MELA ni ngoma ambayo ililazimishwa katika masikio ya watu lakini hakuwa inaridhisha sana.

NEW AUDIO / ACHICHO DIMPLES-TAKE OVER / DOWNLOAD IT HERE...

Achicho Dimples is a female Emcee from Mombasa/Kenya and she is under STANTMASTER PRODUCTION and this is her new song called TAKE OVER . Download it here.