Skip to main content

Posts

Showing posts from February 5, 2015

EXCLUSIVE AUDIO| DAZLAH FEAT CHIKUZEE-KALE KALE| LISTEN AND DOWNLOAD HERE...

Baada ya kimya cha muda msanii DAZLAH kutoka studio za TEE HITS amerudi tena na ngoma yake aliomshirikisha msanii CHIKUZEE na ngoma yenyewe inajulikana kama KALEKALE ,kumbuka mara yake ya mwisho msanii huyo alikuangushia nyimbo iliyojulikana kama BANGEREBA iliyotamba sana katika media za hapa nchini naye CHIKUZEE umewahi kumskia katika ngoma zake akiwa ameshirikiana na SUSUMILA katika vibao kama HIDAYA na NGOMA ITAMBAE . Wimbo huu wa Dazlah ndio wimbo wakwanza mwaka huu ambapo amekuja na ujio tofauti na wa BANGEREBA ambapo amerudia mapenzi kama Kawaida yake na wimbo huo ameutengeneza katika studio za TEE HITS chini ya producer anaye muamini ambaye ni TEE TONY. Download hapa..