Skip to main content

Posts

Showing posts from September 14, 2016

TGM254:NEW AUDIO ALERT|||| MAFIOSO-AM GLAD||| LISTEN/DOWNLOAD HERE..

MAFIOSO ni moja wapo ya makundi ya yanayofanya vizuri tu kimziki katika maeneo ya KWALE COUNTY yaani UKUNDA na DIANI na wako vija watatu akiwemo RUKSY,BEATZBOY pamoja na PIESCES . Kwa mara hii wamekuletea nyimbo moja ivi yakujirusha maana msimu ndio kama ivo unaelekea kuingia kwenye shehe ivi basi wamekuletea track yao mpya inayokwenda kwajina AM GLAD iliotengenezwa katika studio za THURNDER SOUND chini ya produza mkongwe SHERRIFF pamoja na mmoja kati ya wasanii hao anayekwenda kwajina THE BEATS BOY. Pata kuipakua Hapa Chini upate Burudani kamili....