Skip to main content

Posts

Showing posts from January 5, 2015

EXCLUSIVE VIDEO| NYOTA NDOGO FEAT KAA LA MOTO KUMBE-MAPANYA | Watch ite here....

Video iliyokua inangojewa imeachiliwa hii leo mida ya asubui ambapo video yenyewe ni wimbo unaojulikana kama MAPANYA ambapo katika wimbo huo umemshirikisha msanii wa HIP HOP anayejulikana kama KAA LA MOTO KIUMBE. Video hio imetengenezwa katika maeneo ya Voi chini ya LIL GUY G ambapo katika video zote za msanii mkongwe hapa mkoani hii ndio inasemekana kuwa tishio zaidi maana imeandaliwa kivyake na tofauti kabisa. Pata kuitzama hapa.

EXCLUSIVE VIDEO | THE AWAITED VIDEO IS OUT | DJELE DJELE BY AKOTHEE | Watch it here.....

Akothee amerudi tena katika kioo chako na muda huu amekuletea kitu tofauti ambapo ni wakati tu mchache uliopita ameachia video yakempya inayojuliana kama DJELE DJELE . Msanii huyo wakike anayekuja kwa kasi sana katika tasnia hii ya mziki alikuletea nyimbo kama KATIKA na PASH nyimbo hizo ambazo ndio zilimtambulisha katika kinyang'anyiro hichi cha mziki na kuweza kunga'aa zaidi, hapo nyuma kidogo tulikuachia exclusive picha za video hio mpya ikiwa inatengenezwa na kwasasa video hio imeachiliwa rasmi. Wimbo huo umetengenezwa katika studio za KAY-G RECORDS cini ya producer mkubwa na mkongwe anayejulikana kama TOTTI na video hio kama tulivyo kuharifu hapo nyuma ilitengenezwa na kampuni ya ONE MONTAGE iliyochini ya mtayarishi HAMZA OMAR. Pata kuitazama videohio hapa..