Skip to main content

Posts

Showing posts from June 3, 2015

EXCLUSIVE VIDEO| TOTTI LA INTERNATIONALE-WANGU| Watch it here...

Baada ya kimya cha muda mrefu TOTTI amerudi tena na mzigo wake mpya unaojulikana kama WANGU kumbuka mara ya mwisho TOTTI kuachia kichupa kipya ni wakati wa HAWAKUFAI ambapo ni moja ya nyimbo zake zilizofanya vizuri zaidi katika soko la Africa Mashariki katika vituo mabli mbali vya Televishenihumu nchini na nje. Video hii yake mpya inayojulikana kama WANGU aliweza kuiachia siku ya MADARAKA DAY  ambapo ilikua Tarehe moja mwezi huu wa sita (1.06.2015) wiki hii Jumatatu,Video hio imeweza kuongozwa na SYNC. Tukikumbuka kwamba TOTT I pia ni produza wa studio za KAY-G RECORDS ambapo yeye ndiye produza wa msanii AKOTHEE,BROWN MAUZO pamoja na RICKY MULOLO. Taarifa tulizozipata ni kwamba Totti anataka kung"atuka katika produza na kuingilia usanii wakati wote bado tunazichunguza taarifa izo na tutaweza kukuletea... Tizama video hio hapa...