Skip to main content

Posts

Showing posts from September 11, 2014

JE UMEWEZA KUITIZAMA VIDEO MPYA YA BROWN MAUZO INAYOJULIKANA KAMA "MBONA" NISHEEDAH..pata kuitazama hapa>>

Msanii BROWN MAUZO CLASSIC almaarufu kama BROWN WAWILIPEKEE amerudi kwa mara nyengine na mtindo ule ule wake wamapenzi na kwa mara hii Nisheedah. Brown ametengeneza kitu kipya ambacho kiliweza kuachiliwa rasmi hapo siku ya jumaa Nnne katika mkahawa Tribeka,msanii huyo aliweza kufunganya hadi jijini Nairobi na kutafuta OGOPA VIDEOS ilikumfanyia video yawimbo wake unaojulikana kama MBONA ambao aliutengeneza katika studio za KAY-G RECORDS chini ya producer. Pata kuitazama video hio hapa chini..