Hapo Jumamosi msanii mkongwe wa Hip Hop Professor Jay aliweza kuzindua video zake mbili katika mkahawa wa TEN LOUNGE Tanzania ambapo aliachia video yake ya KIPI SIJASKIA akiwa amemshirikisha DIAMOND PLATNUMZ na nyengine inayojulikiana kama 3-CHAFU Pata kuzitizama hapa.. 3-CHAFU KIPI SIJASKIA..