Skip to main content

Posts

Showing posts from January 27, 2016

COLLABO YA NGUVU KUTENGEZWA MWAKA HUU YA SWIZZ BEATS AKIWA NA DIAMOND PLATNUMZ..Soma hapa zaidi!!

Moja katika ya mastaa wanaokubali kazi za Diamond Platnumz huwezi kuacha kumtaja Swizz Beatz, ambae alionyesha wazi wazi kuikubali ngoma ya “Nana”. Swizz Beatz yuko mbioni kufanya kazi na Diamond Platnumz Akizungumza na Millard ayo Diamond amesema “ una Collabo na watu wengi sana Kwa mfano kama juzi, juzi kati nafikiri, kama siku tatu nyuma hivi Swizz alinicheck akanambia itabidi tufanye kazi…. nikamwambia sawa, na tuko tunaplan, nikamwambia mimi nakuja Marekani nafikiri mwezi wa tatu kama sijakosea, au before mwezi wa tatu, kwasababu kushoot video yangu niliyofanya na Neyo, ndio tunaenda kushoot video, Ah nikamwambia nikija ndio itakuwa time nzuri tunafanya hapo hapo “.