Skip to main content

Posts

Showing posts from August 29, 2015

EXCLUSIVE BEHIND THE SCENE PHOTOS| HIZI NI PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO MPYA YA BWENYEWE AKIWA AMESHIRIKISHA SUSUMILA "HINDE" PATA KUZITIAZMA HAPA

Kwa muda mrefu msanii aliyekuwa akijulikana kama DOUBLE S alikua yuko kimya chini ya maji hadi akarudi kwenyewe kinyag'anyiro cha mziki hivi majuzi na kujipa jina jipya linalojulkana kama BWENYEWE MFALME. Hapo jana katika pite zetu tuliingia katika location ambapo ilikua ni BWENYEWE na SUSUMILA wanaanda video yao inayojulikana kama HINDE. Tuliweza kuwauliza mawili mattau na tukachukua picha ambazo ni za tukio zima la kuandaa video hio. Muandaaji wa video hio ni director RICKY BECKKO ambaye amefanya video kama NGOMA ITAMBAE,HIDAYA pamoja na IHALE na audio hio imeweza kutengezwa katika studio za SQ-RECORDS na produza AMZ WA LEO. Hizi ndizo picha za video hio..

EXCLUSIVE| TAZAMA KIPENDE CHA VIDEO MPYA YA BENSO "DANCE NA SHIRO" Tizama video hio hapa

Mapema hii leo BENSO msanii kutoka hapa Kenya ambaye ni hit maker wa PHONTHO aliweza kuachia kipande cha video anayoiandaa kwa sasa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook pamoja na Instagram Benso aliweza kuandika haya " Here is the Teaser to my New Video  ‪#‎ DanceNaShiro‬   ‪#‎ NewVideo2015‬ ‪#‎ Newmusic‬   ‪#‎ KEMUSIC‬ . "  video hio inayokwnda kwa jina DANCE NA SHIRO inatarajiwa kuachiliwa wakatika wowote kuanzia juma lijalo. Pata kuitazama video hio hapa.