Mapema hii leo BENSO msanii kutoka hapa Kenya ambaye ni hit maker wa PHONTHO aliweza kuachia kipande cha video anayoiandaa kwa sasa.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook pamoja na Instagram Benso aliweza kuandika haya "Here is the Teaser to my New Video ‪#‎DanceNaShiro‬ ‪#‎NewVideo2015‬‪#‎Newmusic‬ ‪#‎KEMUSIC‬." video hio inayokwnda kwa jina DANCE NA SHIRO inatarajiwa kuachiliwa wakatika wowote kuanzia juma lijalo.
Pata kuitazama video hio hapa.
Comments
Post a Comment