Skip to main content

Posts

Showing posts from October 18, 2014

EXCLUSIVE PHOTOS: KAMA ULIKOSA TAMASHA LA JANA STARDUST MALINDI BROWN MAUZO,AKOTHEE NA JITUZEE...pichandio hizi apa

Hapo jana katika mkahawa wa STARDUST MALINDI palichimbika paleambapo BROWN MAUZO,AKOTHEE na JITUZEE walipotikisa jukwaa na kupagawisha mafans wao. Brown alipopanda juu ya jukwaa ma binti wote waMalindi walisimama na kuacha vinywaji vyao pasi kujuakuwa vingeliibiwa ama kupotea maana kila mwanadada alitaka japo acheze na msanii huyo anayejulikana kama MAUZO. Naye anayetambulika kama mpenzi wake BROWN alipopanda jukwaani wanaume nao hawakujizuia hisia zao na kupanda juu ya jukwaa wakimwagia mwadada huyo noti za pesa mpaka akashindwacha kufanya. hizi ndio baadhi ya picha za tamashahilo.