Skip to main content

Posts

Showing posts from October 25, 2014

PRODUCER TEE AKIRI KUWA HAKUNA MANAGER MZURI WAKUMMILIKI DAZLAH HAPA KENYA....soma hapa zaidi..

Hapo jana katika kituo cha radio cha Pwanifm Producer Tee kutoka TEE HITS  aliweza kufunguka ya moyoni Producer huyo aliweza kuulizwa anawaonaje hawa ma-manager wetu kutoka hapa Kenya na kuwa dai kuwa hakuna manager mzuri "Hawa manager wetu bado na sijapata kuona manager mzuri atakaye mmliki msanii wangu Dazlah ndio maana Candy and Candy walishindwa,mimi sitaki manager wakuwa atamfanyia video ya elfu ishirini alafu isemekane anammiliki Dazlah,ninachokitaka mimi ni manager wa kumfanyia Dazlah kama ni video ni Milioni kwenda mbele sio manager wa kumlipia Audio pekeake" Tee alisema. Tee aliweza kuongeza kuwa hapa mkoani pwani msanii aliye juu wakwanza ni Dazlah wapili ni Sususmila na watatu Ally B,Tee aliweza kusawazisha fununu zilizokuwa zinaenea mtaani kuwa yeye alifunzwa kazi na Producer MOBIZ wa THURNDER SOUND alikanusha madai hayo na kudai kuwa yeye alienda THURNDER SOUND ki kazi sio kufundishwa alipoingia studio hizo yeye alikuwa ameiva tayari na alipotoka hapo