Skip to main content

Posts

Showing posts from May 30, 2017

NEW GOSPEL AUDIO||| HANNAH THE BLESSED CHILD-MUNGU ANAWEZA|| Pata kuipakua hapa

Huu hapa wimbo wa msanii wa nyimbo za injili anayekwenda kwajina HANNAH THE BLESSED CHILD unaotambulika kama MUNGU ANAWEZA ,huu ni wimbo wake wakwanza tangu kuingia katika dini ya ki Kristo kutoka kwatika Uislamu. Na ni mwanadada mwenye ushuhuda mkubwa sana ndani ya moyo wake bado tunafanya mahojiano naye ivo basi usikae mbali na blog yako ya Www.thegreatmulley.blogspot.com ili upate THE EXCLUSIVE INTERVIEW. Pata kuidownload hapa.. DOWNLOAD HAPA