Skip to main content

Posts

Showing posts from March 17, 2017

NEW VIDEO ALERT|||YULE MUUZA MAYAI "FAT-S' AKIWA AMESHIRIKISHA WYNAS ANAWAALIKA KUITAZAMA VIDEO YA "MBONI YANGU"

Ni wiki moja imepita kulikua na tetesi kwamba msanii mkongwe FAT S inasemekana alikutwa akiuza mayai maeneo ya Likoni ferry na taarifa izo zikatapakaa sana kuwa mwimbaji huyo ameacha mziki na kuingilia uuzaji wa mayai. Baada ya picha izo kutambaa mitandaoni hapo jana Fat S pamoja na mwenzake Wynas wameweka wazi kuwa sio kuwa alikua anauza mayai bali ni kichupa kilikua kinatengenezwa. Hii hapa video mpya yinayokwenda kwajina MBONI YANGU iliyoongozwa na RICKY BEKKO kutoka BIG DREAMS na audio imeundwa na P-LION kutoka MK2. Pata kuitizama video hio kwa kubonyeza link hapa chini.