Baada ya kuachia nyimbo yake yapili akiwa amemshirikisha NYOTA NDOGO msanii AMOURY BEYBY ameregea studio za KAY-G RECORDS na kutengeneza kitu chenge tofauti na round hii hakumshirikisha mtu bali produza pekeake ambaye ni PRODUZA TOTTI. Takriban Wiki mbili zilizopita video hii ya SEBENE imekua gumzo katika midomo ya watu na pia katika mitandao ambapo ni video ya kwanza kutrend katika mtandao wa TWITTER wiki hii tukiangalia hakuna video imewahi kutrend ivi kutoka mkoani Pwani. Tukizungumzia video yenye watu wengi waliweza kusema kuwa msanii AMOURY BEYBY ameweza kufunga safari hadi nchini AFRICA KUSINI ili akaonane na GODFATHER ila kupitia kituo kimoja cha radio msanii huyo aliweza kukanusha hayo na kusema aliyetengeneza video ya KITETE ndiye yule aliyetengeneza hii ya SEBENE ambaye ni LIL GUY G FILMS "Kiukweli mimi nawashsngaa watu wanaposema mpaka waende kwa OGOPA VIDEO ama GODFATHER ndio video zao ziweze kuwa nzuri mimi napinga hilo maana hii video yangu mpy...