Skip to main content

TGM VIDEO OF THE WEEK| AMOURY BEYBY ARTIST001-SEBENE| Watch it here...



Baada ya kuachia nyimbo yake yapili akiwa amemshirikisha NYOTA NDOGO msanii AMOURY BEYBY ameregea studio za KAY-G RECORDS na kutengeneza kitu chenge tofauti na round hii hakumshirikisha mtu bali produza pekeake ambaye ni PRODUZA TOTTI.

Takriban Wiki mbili zilizopita video hii ya SEBENE imekua gumzo katika midomo ya watu na pia katika mitandao ambapo ni video ya kwanza kutrend katika mtandao wa TWITTER wiki hii tukiangalia hakuna video imewahi kutrend ivi kutoka mkoani Pwani.

Tukizungumzia video yenye watu wengi waliweza kusema kuwa msanii AMOURY BEYBY ameweza kufunga safari hadi nchini AFRICA KUSINI ili akaonane na GODFATHER ila kupitia kituo kimoja cha radio msanii huyo aliweza kukanusha hayo na kusema aliyetengeneza video ya KITETE ndiye yule aliyetengeneza hii ya SEBENE ambaye ni LIL GUY G FILMS "Kiukweli mimi nawashsngaa watu wanaposema mpaka waende kwa OGOPA VIDEO ama GODFATHER ndio video zao ziweze kuwa nzuri mimi napinga hilo maana hii video yangu mpya nimeifanya na yuleyule aliye nifanyia KITETE ambaye pia ni manager wangu sio mwengine ila LIL GUY G FILMS" Amoury alisema.

Pata kutazama video hio mpya ya AMOURY BEYBY kwa jina SEBENE.


Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..