Skip to main content

Posts

Showing posts from October 10, 2014

+18!!!!!!!!!!!! VERA SIDIKA AAMUA KUANIKA KIFUA CHAKE NJE ILI KILA MMOJA AKAWEZE KUONA.....NISHEEEEEDAH!!!!!

RAP DEM AKIRI KUWA HAJAACHA MZIKI KAMWE NA BADO YUKO KWA MZIKI SANA...soma alichokisema.

Msanii wa mtindo wa Genge anayetokea pande za Mombasa Kenya mapema hii leo alikuwa akihojiwa na MAFIMBO MFALME alidai kuwa yeye bado hajaacha mziki. Msanii huyo wakike alidai kuwa account yake ya FACEBOOK ilikuwa imechukuliwa na mtu ,mwengine na sio yeye alieyeandika kuwa ameacha mziki,Rap Dem alizidi kujitetea na kudai kuwa watu wanmuharibia jina tu kwa kashfa zauongo hivyo basi ameamua kuingia katika studio za MWAMBA records kwa Noor kuddhibitisha kuwa yeye hajaacha mziki na hatowacha kamwe. " Account yangu ndio ilikuwa ime hukiwa na ndugu yangu na kuandika kwamba mimi nimeacha mziki lakini mimi sijaacha mziki na sitowacha bado niko kwa game sana " Tulimnukuu akiyasema hayo katika anga za Pwanifm mapema hii leo

EXCLUSIVE: DOWNLOAD "SITOWEZA" MAFIMBO MFALME FEAT MIKE BWAX....get it here..

Kama ukimsikiza katika kipindi chake Pwanifm Tafrija Select Afrika utaweza kushtuka kwamba Munga Arnold ukipenda MAFIMBO MFALME ndiye aliyeimba wimbo huu wa SITOWEZA ambao ni wa kumtukuza Mungu. Munga kando ya kuwa yeye ni presenter pia ni muimbaji katika kundi la THE GREAT MUNGAS ambayo kwasasa yuko pekeake na katika wimbo huu msanii huyo ama presenter amemshirikisha Mike Bwax wa kundi la BIBLIZERS KENYA. Pata kuudownload hapa...