Skip to main content

Posts

Showing posts from July 19, 2016

EXCLUSIVE STORY| JOSE CHAMELEON AMPA MKONO WA HESHIMA DIAMOND PLATNUMZ HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA MAPEMA LEO...Soma hapa

Mwanamuziki mkongwe hapa Afrika ,Jose Chameleon amefunguka ya moyoni mapema leo hii na kusema kuwa hakuna tatizo lolote baina yake yeye na DIAMOND PLATNUMZ. Mitandao ya kijamii imekuwa ikidai kwamba Bwana DIAMOND PLATNUMZ hit maker wa KIDOGO na JOSE CHAMELEON hit maker wa WALE WALE,Wamekuwa hawana mahusiano mazuri na kusema kwamba wawili hao wana bifu ambapo bifu hio haijulikani ilikotoka. Mapema leo hii Chameleon aliweza kuweka wazi katika mtandao wake na kutoa ati ati katika vinywa pamoja na akili za watu. Jose aliweza kufafanua haya "“I know how much hard work it takes to build a name and how we are all relevant to flying Africa Music to the world. I can see people trying to build beef lines between me and Diamond Platnumz all these years,” aliandika Jose kupitia instagrm. Aliongeza na haya , “All I can say is go higher my brother the sky ain’t the limit.Stay strong and God bless you more,” Baada ya kusema hivyo, mashabiki wa Diamond pamoja na wadau mbalimbal