HII NDIO ZAWADI AMBAYO GATES MGENGE ALIWEZA KUMZAWADIA MKE WAKE SIKU YA KUZALIWA KWAKE...Tizama hapa
Wikendi hii iliopita ilikua kati ya siku muhimu sana kwa kipenzi cha mtangazaji wa Pwanifm kutoka kipindi cha MASHAV MASHAV anayetambulika kama GATES MGENGE. Tarehe 01|11|2015 ni siku mpenzi wa Gates Mgenge,Suzy aliweza kuonesha furaha yake pale ambapo mumewake aliweza kumzawadia ujumbe mtamu alioupitisha katika mtandao wake wa Instagram huku akiambatanisha na picha ilioashiria kwamba kunamapenzi ya dhati katika wapenzi hao wawili. Huu ndio ujumbe mtamu ambao Gates aliweza kumpa baby mama wake kupitia Instagram year after year that does the trick. I searched my wallet and found it empty I searched my pockets and found some few coins Then I searched my heart and I found you Then I realized how rich I am Happy birthday! A photo posted by Eric Mmu (@gatesmmu) on Nov 1, 2015 at 12:23am PDT Naye mke wake kipenzi hakuweza kustahimili hisia zake na kuangusha hii.. Dats how ma birthday ended.just luv it thanks papi for the birthday.mwaaah A photo posted by...