Skip to main content

HII NDIO ZAWADI AMBAYO GATES MGENGE ALIWEZA KUMZAWADIA MKE WAKE SIKU YA KUZALIWA KWAKE...Tizama hapa

Wikendi hii iliopita ilikua kati ya siku muhimu sana kwa kipenzi cha mtangazaji wa Pwanifm kutoka kipindi cha MASHAV MASHAV anayetambulika kama GATES MGENGE.
Tarehe 01|11|2015 ni siku mpenzi wa Gates Mgenge,Suzy aliweza kuonesha furaha yake pale ambapo mumewake aliweza kumzawadia ujumbe mtamu alioupitisha katika mtandao wake wa Instagram huku akiambatanisha na picha ilioashiria kwamba kunamapenzi ya dhati katika wapenzi hao wawili.


Huu ndio ujumbe mtamu ambao Gates aliweza kumpa baby mama wake kupitia Instagram


Naye mke wake kipenzi hakuweza kustahimili hisia zake na kuangusha hii..
A photo posted by Bella Valencia Sue (@bella.v.sue) on

Comments

Popular posts from this blog

EXCLUSIVE AUDIO| CHIKUZEE-KUNGURU MWEUSI|LISTEN AND DOWNLOAD HERE

Baada ya kimya cha muda msanii na mkali wa vocals kutoka hapa Kenya CHIKUZEE ameachia mzigo mpya kutoka NUMBER RECORDS unajulikana kama KUNGURU MWEUSI. Ujio huu wa Chikuzee umekaa tofauti kabisa na alivyozoeleka na mitindo yake ya hapo awali,round hii ameamua kuingia katika mtindo wa TAARAB na ili kuonesha ujuzi wake na mashairi yake yalivyokomaa. Pata kuudownload KUNGURU MWEUSI hapa.. BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD KUNGURU MWEUSI.  

NEW SONG ALERT: NYOTA NDOGO-SUBIRA YANGU| IPAKUE HAPA...

Hii ni ngoma mpya ya msanii wakike NYOTA NDOGO inayokwenda kwajina SUBIRA YANGU ambapo ngoma hii aliweza kuiachia hapo jana. Pata kuipakua hapa ivi upate ujumbe mtamu na Wakuelimisha.

NEW AUDIO | RABBIT KING KAKA FEAT RICH MAVOKO-NJOO | LISTEN AND DOWNLOAD HERE..

Hii ni nyimbo mpya kutoka KenyaTanzania ambapo ni moja ya Colabo iliyongojewa kwa muda mrefu,colabo hio inakwenda kwa jina la NJOO ambapo ni msanii wa Hip Hop ameshirikisha msanii wa Bongo flava kutoka Tanzania hapa nikiwa namzungumzia KING KAKA akiwa na RICH MAVOKO. Nyimbo hio imeachiliwa rasmi hii leo na wasanii hao wawili. pata kuiskiza na ku download hapa..