Skip to main content

Posts

Showing posts from December 11, 2015

TOTTI AAMUA KUMUEKA WAZI BEAUTIFUL ONYINYE WAKE KATIKA MITANDAO...TIZAMA PICHA ZAKE HAPA WAKIPEANA MATE MAZITO..

Totti amekomesha ubishi mapema leo hii kupitia mtandao wake wa INSTAGRAM kwa kutupia picha tamu tamu za kipusa wake... Search Results Mapema hii leo produza msanii huyo aliweza kuambatanisha picha zake akiwa na mama watoto wake wakiwa wametoka shopping na kunukuu maneno haya " HAPPY ANNIVERSARY MY LOVE " Hii ina maana kuwa Totti hajaanza nae leo wala jana amekua akieka uhusiano wake chini ya maji huku hakuna mtu ajua kinachoendelea katika kuta nne za Totti bali ni yeye na Mungu wake lakini leo ameamua kuyaweka hadharani mahusiano yao. Hizi ndizo baadhi ya picha alizozitupia Happy Anniversary My Love! A photo posted by Totti Music® (@tottimusic) on Dec 11, 2015 at 12:33am PST