Skip to main content

Posts

Showing posts from February 17, 2015

WAPENZI WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA SIKU YA VALENTINE....tizama picha hapa..

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

SUSUMILA KUTOA NGOMA YAKE MPYA BILA KUMSHIRISHA CHIKUZEE TENA....SOMA HAPA ZAIDI.

Msanii kutoka hapa Kenya anayetambulika kama hit maker wa HIDAYA na NGOMA ITAMBAE ambapo zote ameshirikisha msanii Chikuzee hivi karibuni atakuwa anaachia ngoma yake mpya inayojulikana kama IHALE. Msanii Susumila wakati huu inaonekana hatomshirikisha CHIKUZEE katika ngoma hio mpya kama watu walivyo tarajia kuwa ngoma nyengine pia watakuwepo pamoja. Kumbuka ngoma hizo mbili waliposhirikiana fununu zilizuka kuwa wawili hao wanataka wawe kama kundi moja na kupiga nyimbo zao wakiwa pamoja,Tukimuhoji msanii SUSUMILA alituelezea kuwa yeye na Chikuzee sio kundi moja bali walikuwa wakiimba t kama wasanii wengine tulimnukuu " Mimi na Chiku hatuko kundi moja na wala hatuna mkataba tulikuwa na fanya kazi tu na sio ati Chiku na Susu ni kundi kama wat wanavyo sema lakini kukitokea kazi kama inahitajika tuifanye mimi na yeye ttapiga kazi" alisema Susumila Susumila atakuwa anaachilia ngoma yake mpya itakayojulikana kama IHALE ambpo amemshirikisha msanii kutoka Congo anaye

EXCLUSIVE VIDEO | THE AWAITED VIDEO IS OUT WATCH VUVULA BY MADEE..

Vuvula ni wimbo uliotngenezwa katika studio za UHURU nchini SOUH AFRICA na mkali wa Hip Hop kutoka Tanzania ndio aliyeifunika beat hio ya Uhuru. Video ya wimbo huo ambayo ilivumbuliwa tarehe saba mwezi huu imekuwa ikingojewa sana  na wapenzi wa mziki ambapo ilishikiliwa mpaka hapo jana 16-02-2015 ndipo ilipoonekana katika Youtube Channel ya msanii MADEE. Hii ndio video yake mpya pata kuitizama hapa..