Skip to main content

Posts

Showing posts from October 15, 2016

NEW VIDEO ALERT||| PATA KUITIZAMA VIDEO MPYA YA C-NEW AKIWA NA CHIKUZEE INAKWENDA KWAJINA UMENUNA BURE|| ITAZAME HAPA...

Baada ya kungojewa kwa muda mrefu video ya wasanii wawili wakali kutoka jiji la Mombasa imeweza kuachiliwa. CHIKUZEE akiwa na C-NEW wameweza kuiachia kichupa chao kipya kinachokwenda kwajina UMENUNA BURA ambapo video hio imeweza kuketiwa chini na director GIT chini ya GRAVITY FILMS na audio imewezakutengenezwa na prpoduza NOOR MWAMBA kutoka MWAMBA RECORDS . Pata kuitzama hapa..