Skip to main content

Posts

Showing posts from August 28, 2014

SLEEM G AAPA KWAMBA HAKUNA KITU DIAMOND PLATNUMZ ANAWEZA FANYA NA YEYE KIMSHINDE...soma hapa..

Hapo jana katika uzinduzi wa video yake mpya katika mkahawa wa BELLA SPORTS msanii SLEEM G alisimama jukwaani na kusema yeye anajiamini sana na wasanii wa hapa mkoani inasemekana hawajiamini. Ambapo alitoa ushauri kwa mafans wake pamoja na wasanii akisema kuwa tumekuwa tukijishusha chini kila wakati tunapongeza kazi za watu na zetu uku tunaziachilia wazi tu na kusema wasanii pia wanahitajika kujiamini zaidi ili wafike mbali na mbele zaidi. Sleem G akiwa anaachia video yake mpya alisema " SISI WASANII NA MAFANS WA PWANI INAFAA TUJIAMINI MAANA INASEMEKANA MAFANS WA PWANI HAWAFAGILII MAFANS WAO TUNAFAGILIA WASANII WA NJE MIMI HAKUNA KITU DIAMOND ANAWEZAFANYA MIMI SIWEZI" Alisema Sleem G. Wakati huo huo msanii huyo pia alisema hakuna kitu msanii huyo mkali wa Bongo DIAMOND PLATNUMZ anaweza kufanya na yeye kimshindi kama ni nyumba kama ni magari ya kifahari yote anaweza ivo inafaa tujiamini zaidi kwa kazi tunazozifanya. TIZAMA VIDEO YAKE MPYA HAPA.. #MAMA