Skip to main content

Posts

Showing posts from February 21, 2017

EXCLUSIVE NEW VIDEO||| MABIBI NA MABWANA EDDY TICHA ANAWAALIKA KUTIZAMA VIDEO YAKE MPYA "VUNJA" Tizama hapa

Eddy Ticha ni mmoja ya wasanii waliojawa na vokol zaidi akiingia ndini ya chumba cha kuangusha Melody na Punch round hii amekuletea kichupa chake kinachokwenda kwajina VUNJA. Ikiwa ndio Video yake yapili tangu kuanza miziki kama solo artist alipotoka katika kundi la WATASH ivi amekualika kuitazama video yake mpya kabisa ilioweza kuongozwa na LYNKE JUNIOR kutoka DAMUSIKLAB audio imetoka katika studio za THURNDERSOUND chini ya kiongozi SHERIFF almaarufu kama MORBIZ. Bonyeza hapa kuitazama.. BONYEZA HAPA KUITZAMA VIDEO YA VUNJA