Skip to main content

Posts

Showing posts from July 30, 2015

TIZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA MAZISHI YA MAREHEMU MZEE OJWANG YALIYOMALIZIKA HAPO JANA.....

Jana ndio ilikua siku ya mwisho ya kupumzishwa mkali na gwiji wa vichekesho marehemu MZEE OJWANG HATARI ambapo mazishi hayo yaliweza kuhudhuriwa na watu mbali mbali mashuhuri pamoja na wachekeshaji wenzake akiwemo Churchil,Mwala,Mama Kayayi pamoja na Mogaka. Hizi ndio picha zote za tukio hilo zima.