Skip to main content

Posts

Showing posts from November 24, 2014

EXCLUSIVENEW SONG| WYNAS "TUJIRUSHE"| DOWNLOAD HERE...

Wynas ni msanii kutoka Mombasa/Kenya ambaye anafanya kazi zake katika studio za TEE HITS chini ya Producer TEE wengi wanamuita PLAYBOY kwasababu ya wimbo wake aliyotoa hapo nyuma uliofanya vizuri katika chati za hapa Kenya na Afrika Mashariki. Mara hii msanii huyo amerudi tena kwa mtindo tofaut wa kjirusha ambapo alijuikana kwa kuba mapenzi sana, hii leo ameachia wimbo mwengine unaotambulika kama " TUJIRUSHE" Upate hapa....