Skip to main content

Posts

Showing posts from December 1, 2018

EXCLUSIVE::::MSANII WA HIP HOP KUTOKA KUNDI LA WEUSI "NIKKI WA PILI" AWAPA VIJANA NASAHA SIKU MOJA KABLA SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI..

Ikiwa leo ni tarehe mosi mwezi wa kumi na mbili ambapo ni siku na tarehe ya maadhimisho ya siku ya Gonjwa la UKIMWI DUNIANI almaarufu kama ( WORLD AIDS DAY ). Msanii wa Hip Hop NIKKI WA PILI kutoka kundi tajika Tanzania linalofahamika kama WEUSI ambapo ndani kuna G.NAKO , BONTA MAARIFA , NIKKI WA PILI , LORD EYES pamoja na JOH MAKINI.  Tarehe ishirini na nane ya mwezi wa kumi na moja msanii huyo aliweza kutoa ushauri wake kwa vijana wanapoelekea katika msimu wa kujirusha pamoja namaadhimisho ya siku ya kuadhimisha Gonjwa la Ukimwi Duniani,hit maker huyo wa nyimbo ya KANIFUATA aliyomshirikisha msanii wa RnB African Boy almaarufu kama JUX aliweza kuandika haya akiambatanisha na picha yake. Tukimnukuu Nikki aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram " Kuelekea siku ya ukimwi duniani,niongee na wale kina dada staki nataka.....yaani kaja gheto lakini mpaka mvutanee,mchaniane nguo,mvuane kwa vita.....sasa msichana kama huyu kinga utavaa saa ngapi yaani ukimuachia tu