Skip to main content

Posts

Showing posts from October 3, 2014

EXCLUSIVE PICHA ZA MSANII AKOTHEE AKIWA ANAENDA KUMCHUKUA MTOTO WAKE SHULE AKITUMIA CHOPPER...Tizama picha hapa

Hii leo shughuli za usanii ziliekwa kando na kueka mambo ya familia mbele kwanza . Msanii Akothee aliweza kuahudhuria tamsha la mtoto wake kwa aina yake ambapo aliweza kupelekwa katika tamasha hilo kwa kutumia ndege aina ya helicopter na kutua katika uwanja wa shule hio na watu kufikiria kuwa ni mwanasiasa ameingia bali alikua AKOTHEE hit maker wa PASHE na KATIKA . Msanii huyo aliweza kutu dokezea haya " Nilikuwa sina jinsi kwani ili nilazimu niweze kuhudhuria sherehe zote mbili pasi na kumuudhi mtoto wangu wa kike kwa jina PRUDENCE amnbaye anasomea shule ya UTAWALA Hapa NAIROBI na pia kuhudhuria sherehe ya dadangu katika MOI UNIVERSITY maeneo ya ELDORET ambapo ilinibidi nieke vifaa vya uimbaji kando kidogo lakini nitarudi Nairobi hapo kesho Mungu akipenda " Tulimnukuu. Pata kuzitizama picha hizo hapa..

EXCLUSIVE DIAMOND PLATNUMZ BIRTHDAY PHOTOS AND WEMA SEPETU GIVING HIM BMW X6 AS BIRTHDAY GIFT....see more here

After hit maker of NUMBER ONE Diamond Platnumz gave his first lady WEMA SEPETU  a birthday gift of BMW now its time of WEMA SEPETU to give out her birthday gift. 2/10 Diamond Platnumz was born and yesterday was his Birthday,he celebrated his big day with all Bongo stars at  Golden Jubilee Towers in DAR-ES-SALAAM in KILIMANJARO HALL. The Celebration was attended by many artist like CHEGE,T.I.D,CHIDIBENZ,OMMY DIMPOZ,V MONEY,PROFESSOR JAY,YA MOTO BAND and many more. These are photos of the party..