EXCLUSIVE PICHA ZA MSANII AKOTHEE AKIWA ANAENDA KUMCHUKUA MTOTO WAKE SHULE AKITUMIA CHOPPER...Tizama picha hapa

Hii leo shughuli za usanii ziliekwa kando na kueka mambo ya familia mbele kwanza .
Msanii Akothee aliweza kuahudhuria tamsha la mtoto wake kwa aina yake ambapo aliweza kupelekwa katika tamasha hilo kwa kutumia ndege aina ya helicopter na kutua katika uwanja wa shule hio na watu kufikiria kuwa ni mwanasiasa ameingia bali alikua AKOTHEE hit maker wa PASHE na KATIKA.
Msanii huyo aliweza kutu dokezea haya "Nilikuwa sina jinsi kwani ili nilazimu niweze kuhudhuria sherehe zote mbili pasi na kumuudhi mtoto wangu wa kike kwa jina PRUDENCE amnbaye anasomea shule ya UTAWALA Hapa NAIROBI na pia kuhudhuria sherehe ya dadangu katika MOI UNIVERSITY maeneo ya ELDORET ambapo ilinibidi nieke vifaa vya uimbaji kando kidogo lakini nitarudi Nairobi hapo kesho Mungu akipenda" Tulimnukuu.
Pata kuzitizama picha hizo hapa..
Comments
Post a Comment