Skip to main content

Posts

Showing posts from January 28, 2017

EXCLUSIVE STORY|||HIT MAKER WA NITULIZE "BROWN MAUZO"AMTUPIA LUGA MSANII WAKIKE SANAIPEI TANDE KWENYE HEWE ZA MZAZY WILLY M.TUVA...Soma hapa zaidi

Msanii anayetamba na kichupa chake kipya kinachokwenda kwajina APOTEE,Brown Mauzo hapo jana aliweza kuyamwaga yake ya moyoni hewani. Hapo jana katika studio za RADIO CITIZEN ndani ya kipindi cha MAMBO MSETO kinachoongozwa na MZAZI WILLY M.TUVA walikutana wawili hawa ambapo kila mtu alikua ameenda kivyake kuachia rasmi ujio wake mpya ndipo pale Brown Mauzo alishindwa kuzizuia hisia zake na kutema ya moyoni. Ni pale ambapo Mzazi aliwaomba kila mmoja amuulize mwenzake swali moja msanii wakike Sanaipei alianza wakwanza kumuuliza swali na swali lake lilikwenda hivi " Je wewe unatokea anga zipi hapa nchini ?" Sanai, naye Brown kwa mtetemeko flani ivi licha yakwamba hakuulizwa majina kamili lakini ilimbidi ajieleze sio kama Brown Mauzo ila kama Fredrick " Kwa mahina naitwa Fredrick Mutinda natokea maeneo ya South Coast/Ukunda wewe ni mremb sana kuanzia sauti hadi wewe mwenyewe " Brown kajieleza ilipofika hapo Mzazi aliweza kuzima Mic za studio na waliporudi